DOGO ASLAY NDANI YA PENZI ZITO NA NAIMA,NAIMA AJICHORA JINA LA ASLAY..
Jamani
Mahaba Kitu Kingine , Mwanzo tulijua Nuhu Mziwanda pekeake ndio mwenye
ujasiri huu wa kujichora tattoo ya mpenzi wake ..lakini sasa list
imeongezeka , Mrembo Naima nae avunja Ukimya , Ajichora Tattoo ya mpenzi
wake Dogo Aslay .
Naima ni yule binti aliyekuwaga kwenye beef na Wema Sepetu wakimgombania CK.
No comments:
Post a Comment